.

8/06/2021

Samaki Mwenye Meno ya Binadamu Azua Taharuki

Samaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa facebook.

 

Alitambuliwa kama samaki mwenye kichwa cha kondoo {(Sheephead fish), ambaye ana meno kama ya binadamu ya kuvunjavunja chakula. Samaki huyo anaonekana kupata jina hilo kutokana na mdomo wake kuwa na muonekano kama ule wa kondoo.

 

Samaki huyo anadaiwa alikamatwa na Nathan Martin ambaye amekuwa katika gati hiyo. Bwana Martin alisema alikuwa na matumaini ya kumshika samaki mwenye kichwa cha kondoo wakati alipoona mdomo uliojaa meno.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger