.

8/30/2021

Shishi Ajibu Mashambulizi ya Ubonge Wake.."Tumbo ni langu haliniwashi"Inaonekana misumali ya waja imeendelea kumchoma dada yetu, msanii @officialshilole hasa kuhusiana na huu ubonge

Tokea jana baada ya ile show kwenye kilele cha siku ya Mwananchi,maneno yamekuwa mengi mitandaoni kuhusiana na mwili wa shishi,wengine wakimuita kibanda cha M-pesa,wengine tembo mtoto ya vurugu mechi.

Hasa sio kinyonge,Shishi ameamua kuwajibu waja na kuwa wanachokisema ni kumpigia mbuzi gitaa tu, Shishi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa

“Pesa zangu!
Nakula kwangu!
Naishi Kwangu!
Raha zangu!
Sina mkopo bank
Nina Afya njema kabisaaa
Tumbo ni langu haliniwashi!
Mume wangu hakereki na mwili wangu!
Nyinyi mnawashwa na kuumia nn???
Kama rahisi nenepeni na nyinyi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger