.

8/21/2021

TANESCO: ILI UPATE UMEME KWA MWEZI AGOSTI, NUNUA WA ZAIDI YA TSH. 2,000Shirika Umeme Nchini (#TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu

Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa Kodi ya Majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000)

Shirika hilo limefafanua “Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakini kodi ni kwa ajili ya mwaka huu wa bajeti ambao umeanza mwezi Julai 2021”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger