.

8/28/2021

Ubingwa Yanga back2back mara 10, Manara amekuja na ubingwa wa Simba mara 6Hayo ni maneno ya shabiki wa Yanga mbele ya makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani akieleza kuwa wao kwa sasa hata aje PSG yenye Messi, Neymar na Mpappe kwa Mkapa hawatoki.

Shabiki huyo pia amekitaja kikosi cha Wananchi Yanga kitakachomgaragaza mpinzani wao Simba tarehe 25 kwenye ngao ya jamii


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger