Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Aliyekuwa Anatafuta Mume Afunguka Kumpata Uingereza


Mrembo mwenye makazi yake mitaa ya buza ,aliye jizolea u maarufu hivi karibuni kwa kutafuta mume wa kumuoa mtaani kwa kuandika bango @bby__nai amefunguka kupata mume kutoka Uingereza.

Kupitia kipindi cha #LeoTena ya clouds FM mwanadada huyo ameeleza kumpata mume huyo kutoka Uingereza ambae tayari wamesha fanya mawasiliano nae na amemuahidi kuwa mwezi December/ mwezi wa 12 atakuja tanzania kwa ajili ya mambo mengine mengi kuhusu uhusiano wao ikiwemo ndoa.


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments