Anthony Joshua apigwa na kupoteza mikanda yote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Bondia Oleksander Usyk wa Ukraine amemdunda Anthony Joshua wa England kwenye pambano lililofanyika kwenye dimba la Tottenham Hotspurs usiku wa kuamkia leo Septemba 26, 2021.
Ushindi huo umemfanya Usyk abebe mikanda yote ya uzito wa juu wa Super WBA, WBO na IBF aliyokuwa anaishikilia Joshua.



Pambano la 19 kwa Usyk, 13 akishinda kwa KO akiwa hajawahi kupigwa hata pambano moja
Joshua alipanga amtafute Tyson Fury ili wazichape kugombania mkanda wa WBC ambao ni wa uzito wa juu lakini mambo yamebadilika sasa hana mkanda hata mmoja.

Ikumbukwe kuwa Anthony Joshua ndiye mwanadamu pekee aliyewahi beba mikanda minne ya Uzito wa Cruise Weight ndani ya mapambano 15 tu.

Akapanda uzito kwenda Heavy Weight na mapambano manne tu akawa kinara na bingwa wa uzani wa juu akishikilia mikanda mitatu WBA , IBF na WBO.



Rekodi za Oleksander Usyk mwenye miaka 34
Mapambano 19

Ushindi 19

KO 13 

 

OPEN IN BROWSER
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad