Dogo Janja "Belle9 Yafaa Achapwe Viboko 70 Kwa Kumdharau Madee"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Juni 7 mwaka 2018 msanii wa muziki tokea mji kasoro bahari, @belle9tz akiwa kwenye interview katika kituo cha Jembe FM kilichopo jijini Mwanza alidai huwa haelewi kabisa anachofanya Rapa @madeeali na anaona kama jamaa hatoi nyimbo bali anatoa beats. Kumbukumbu ziwekwe sawa👇

“Let me be honesty, Madee huwa simuelewi. I don’t know, ujue kuna wasanii inafika kipindi unasikiliza unasema huyo mtu ana-release beat sio wimbo tena, Labda kwa vile nasikiliza rappers ambao wanajua sana au kuna kitu nakitegemea kutoka kwake kutokana muda mrefu yupo kwenye game, kuna kitu nakimisi, so naona kama nikimsiliza nalose.”- Belle 9
Ni kauli ambayo msanii @dogojanjatz ilimkwaza na kudai Belle 9 amekosea na inatakiwa apigwe viboko 70 hadharani,

“Kitu cha kwanza hata yeye Belle 9 kuna vitu anafanya kuna watu huwa hawamuelewe, hata mimi mwenyewe kuna wanangu kibao huwa wananiambia bora Nuruely. Alichokifanya Made kwenye muziki, Belle 9 hata robo hajafikia.. Respect a legend, waheshimu wakongwe, waheshimu wazee sio busara kutukana wakongwe.

Kakosea amemkosea mzee, anatakiwa apigwe 70 bomani (wamasai hapo wamenielewa) ukivunja sheria au ukimkosea mkubwa au mzee unatakiwa uchapwe fimbo 70 mbele ya wanabomani wote.. Madee mpole sana ndio maana wanamuonea. ni mkongwe anayezeeka na heshima zake”- Janjaro

Hasa baada ya miaka mitatu kupita, Janjaro amedai anamkubali sana Belle 9 na ni msanii mzuri na hasa wimbo wake wa Sumu ya penzi kwake ni Yente ila anachomsihi hasirudie tena kumletea dharau Madee kama alivyowahi kufanya hapo awali.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad