.

9/09/2021

Fahamu orodha ya aina 12 ya magari yonayoshauriwa kutumika katika familiaSio kila gari imetengenezwa Kwa matumizi ya Kifamilia,na linapo kuja suala la kutafuta gari kwajili ya familia inabidi mtafutaji awe sahihi katika uchaguzi ili apate gari itakayo endana na mahitaji ya Familia yake Kwa wakati husika.Wanafamilia wengi wamekuwa wakipitia changamoto nyingi linapokuja suala la kutoka(Vocation) Kifamilia wamekuwa na magari ambayo hayakidhi mahitaji Yao na idadi ya watu waliopo Kwa wakati husika na hata kwenye kubeba mizigo ya familia inakuwa changamoto.Hii ndio orodha ya magari ambayo ni muhimu kwa Familia kutumia sababu yanakidhi vigezo vyote ambavyo familia huhitaji wakati wakwenda likizo,kubeba mizigo,kubeba idadi kubwa ya watu na kutembea umbali mrefu bila.1)HONDA CR-V 2021
2) HYUNDAI SANTA FE 2021
3)TOYOTA RAV4 2021
4)HONDA PILOT 2021
5)HYUNDAI PALISADE 2021
6)KIA TULLIRIDE 2021
7)TOYOTA HIGHLANDER 2021
8) CHEVROLET TAHOE 2021
9)FORD EXPEDITION 2021
10) TOYOTA SEINNA 2021
11)HONDA ODYSSEY 2021
12) CHRYSLER PACIFICA 2021


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger