Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Haji Manara "Nilichelewa Kujiunga Yanga, Hatukutumia Nguvu Kujaza Uwanja Kama Wenzetu Walivyotumia Kituo cha Redio Fulani Kuhamasisha"
Now naweza kufanya kazi zangu bila Presha yoyote,,kundi hili nnalofanya nalo kazi Kwa sasa wala situmii nguvu kubwa,,,ni kuwakumbusha tu !!

Angalia siku ya Wananchi,,wala hawakuhitaji kituo kizima cha Redio kifanye Promo ya Mechi wala hawakuhitaji Wasanii hadi waende matawini kuhimiza Washabiki,,,,

Hawa ni Die hard fans wa Mabingwa mara 27 wa Taifa hili Adhimu,,,,najivunia kuwa sehemu ya wafuasi wa club hii,,,always ntawatumikia Kwa weledi mkubwa

Press moja na media tour ktk vituo viwili wamejaa kibao..

Yanga Africa Wallah mnanipa raha na mtaifanya kazi yangu kuwa very Simple,,,kule Kwa Makolo hadi mishipa ya Shingo ilikuwa inataka kukatika...

Sijui nilichelewa wapi kujiunga na club hii ya Moyo wangu.

@yangasc

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

1 Comments

  1. H. Manara is a poor man without brain. How can you keep talking others while you've failed. Brain washed and coward.

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)