Jay Z na Beyonce Katika Boti ya Kifahari Iliyogharimu Bilioni 9 Kuikodi Kwa Wiki Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miongoni mwa picha ambazo zimesambaa zaidi wiki iliyopita ni hii ya Jay-Z na Beyonce wakiwa kwenye yacht (Boti) la kifahari wakila maisha kwenye bahari ya Mediterania. Sasa fahamu kwamba Gharama za kuikodi Boti hiyo kwa wiki ni ($4M) zaidi ya TSh. Bilioni 9. SWIPE kuona baadhi ya picha za ndani na muonekano wa nje wa Boti hiyo yenye thamani ya ($400M) zaidi ya TSh. Bilioni 928.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad