Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yahairishwa


UPDATE: Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake watatu imeahirishwa hadi kesho Septemba 17, 2021

Ni baada ya Shahidi wa kwanza, ACP Ramadhan Kingai kumaliza kutoa ushahidi wake na upande wa Jamhuri kutokuwa na Shahidi mwingine kwa leo

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments