.

9/10/2021

Mchekeshaji Mamito "Sipendi Kuvaa Chupi"

Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill, Eunice Wanjiru Njoki anayetambulika wa jina la Mamito, kutokea nchini Kenya, ameweka wazi kuwa hapendelei kuvaa nguo za ndani na sio kitu anachokipenda.


Aliyasema hayo wakati anafanyiwa mahojiano na moja ya Radio Tanzanis.,” Mimi sipendelei kuva nguo za ndani na nikizivaa ni mara moja baada siku nyingi huwa zinaniletea joto” amesema Mamito.


Kupitia mahojiano hayo Mamito amesema anampango wa kufungua duka la chupi zitakuwa na chapa yake.


Mamito alipoulizwa juu ya mahusiano yake amedai kuwa, amekuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 29, toka ameanza kujulikana na wamedumu kwa miaka minne . amesema mwanaume atakae kuwa nae kimahusiano lazima awe vizuri kifedha.


Mchekeshai huyo amesema, yupo Tanzania kwa kazi zake za sana pamoja na kutangaza YouTube yake.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger