.

9/12/2021

Mume wa Shilole Atubu "Shilole Naomba Usifikirie Kuniacha Maana Kila Uliemuacha Amechanganyikiwa"
Mume wa Shilole, @rommy3d amemuandikia barua ya wazi mkewe kuwa wasije wakaachana maana wote walioachwa na @officialshilole kwa sasa ni Machizi boti🤪. Rommy ameandika👇

“Barua ya wazi kwenda kwa mke wangu @officialshilole !! 😂..
Naomba usije ukafikiria kuniacha maana kila uliemuacha!! Amechanganyikiwa!!
Na Mungu anisaidie 🙌🏽🙏🏽

Wote tuseme Amin🙏🏽
Povuruksaaa👇🏾😂😂🤣🤣🤣”

Na Shilole akajibu👇

“❤️❤️❤️❤️ Nanzajeeeeee kwako nimefika najua wanaumia sana kukuona unakula raha zako na bado watafute kiti wakae 😂”

Kwahiyo Uchebe na Nuh Mziwanda kwasasa ni machizi bolti?🤪🤪🙌

Wananzengo kazi kwenu naomba kuwasilisha🤣👇


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger