Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Baba Manara"Mugalu Hana Levo ya Kuichezea Simba"Mzee Sunday Manara ameuzungumzia mchezo wa Simba dhidi ya Yanga uliomalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0, jana kwenye Uwanja wa Mkapa.

Mzee Manara ambaye ni baba mzazi wa Haji #Manara amesema: "Simba wanahitaji straika zaidi ya Mugalu, ni mchezaji mzuri lakini kwa levo ya Simba wanatakiwa kuwa na straika ambaye akipata nafasi tatu au nne anafunga moja.

"Mugalu kwa sasa hana levo ya kuichezea Simba. Faida yake ni nguvu, kumiliki mpira lakini tatizo linakuwa kwenye kuichezesha timu na kufunga.

"Kitendo cha kocha kumuacha Bocco nje kisha kuanza na Mugalu ni ile kasumba ya kuwaamini wachezaji wa nje zaidi huku tukiacha wazawa benchi."


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments