Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Simba Waomba Radhi kwa Mashabiki
Klabu ya Simba imewaomba radhi Mashabiki kutokana na usumbufu wanaoupata wakati wa kununua tiketi kwa ajili ya Tamasha la Simba Day.
Simba imesema usumbufu huu unatokana na mfumo wa N Card ambao umeonekana kutokidhi mahitaji na uwezo wa kuhudumia umati mkubwa wa wapenzi wa mpira katika kipindi kifupi.

“Klabu imejaribu mara kadhaa kuzungumza na Wahusika wa mfumo huo ili kutafuta suluhu lakini kadri muda unavyokwenda hali inazidi kuwa mbaya, Mashabiki tunaomba muwe watulivu wakati Club ikiendelea kutafuta suluhisho la kudumu”

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments