.

9/10/2021

TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia


TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia leo Septemba 10, 2021 katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa Matibabu

Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin 

#RIPHanspopeđź•Ż 
  
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger