Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

WIZKID apewe, heshimaa yake, Ndio Msanii Bora Africa


 WIZKID apewe, heshimaa yake ,aiseee huyu jamaa siyo mtu wa kawaidaaaπŸ”₯..

πŸ‘‰ WIZKID, ndio msanii wa Africa,anaeongelewaa sanaa kwa sasa ,anazidi kupata umaarufu huu,!kutokana na maajabu anayoendelea ,kuyafanya katika MUZIKI..

πŸ‘‰ Album ya WIZKID"made in Lagos,imeshika nafasi ya 47,wiki hii katika Billboard 200.huko marekani.

πŸ‘‰"Made in Lagos delux edition " imepata streamers zaidi ya million 200,katika mtandao wa Spotify..

πŸ‘‰ wimbo wa Essence remix, ambao ni Kati ya WIZKID,Tembaby na Justin Bieber.badoo unaenderea kufanya vizur katika Billboard Hot100..wimbo ulishika nafasi ya47..

πŸ‘‰ Essence ndo wimbo ,kutoka Africa unaosikilizwa sanaa nchini Marekani,kwasasa.

πŸ‘‰"True love" Audio ya WIZKID ,imefikisha watazamaji million 5,kwasiku chache YouTube..

πŸ‘‰Matukio ya WIZKID kuuza tiket kwa muda mfupi,sehemu anazo enda kufanya show, hasa ughaibuni. mfano alimaliza kuuza tiket, kwa dakika2, pia kwa dakika 6..

πŸ‘‰ WIZKID amepata connection mpya ya Justin Bieber, huku tayali akiwa na uhusiano mzuriii na Drake..


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments