Azam FC Waiandalia Dozi Pyramids

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, ameelezea mipango yao ya kuwamaliza Pyramids ya nchini Misri.
Azam itacheza mchezo huo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa nyumbani katika viwanja vya Azam Complex Chamanzi nje kidogo ya Jiji la Dar, leo Jumamosi.


Kuelekea mchezo huo wa raundi ya kwanza Azam imeanza kutesti mitambo kwa kucheza mchezo wa
kirafiki na KMC na kuwafunga 3-2 wikiendi iliyopita.

 

Mabao yote matatu ya Azam yalisababishwa na mshambuliaji wao Ayoub Lyanga huku akitoa asisti kwa Idris Mbombo na Daniel Amoah, na kona ambayo KMC walijifunga.


Akizungumza na Championi Ijumaa, Bahati amesema kuwa: “Mchezo wetu na KMC ilikuwa kutizama maandalizi tuliyoyafanya kuelekea mchezo wetu na Pyramids
na tunaona vijana wamekaa sawa.”

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad