Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Director Kenny Aibuka Kivyake vyake Bila WCB, Marioo Afunguka

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
@director_kenny amedhihirisha kuwa hata bila WCB, Maisha yanaweza yakaenda na kuwa sawa. Beer tamu ya @marioo_tz inakuwa ni project ya kwanza kwa Director Kenny toka ijulikane rasmi kuwa hafanyi kazi na WCB.

Mapokezi yamekuwa makubwa,ukiachana na uzuri wa audio lakini pia video imetendewa haki na Director huyo.,hadi sasa imesimama no. 1 kwenye trending huko YouTube ikiwa na jumla ya views 680k+ ndani ya siku mbili.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Kenny ameshea ngoma hiyo kukaa namba 1 on trending huku Marioo akitoa maoni kuwa mengi makubwa yanakuja kati yao,huu ni mwanzo tu.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments