Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Akoshwa na Video ya Ngono ya Tiwa Savage, Amwagia Sifa HiziWakiwa nchini Marekani kuendelea na ziara yao ya kimuziki Msanii @harmonize_tz na Dj wake @djsevenworldwide kwa pamoja wameonekana kutia neno kuhusu mwanamuziki kutoka Nigeria @tiwasavage .

Wakitumia insta story zao katika muda unaofanana wameonekana kumzungumzia msanii huyo ambapo #Harmonize aliandika ujumbe wenye tafsiri ya “mzuri sana tiwa” huku Dj wake nae pia akiandika ujumbe unaotafsrika “nimependa mtindo wa tiwa savage” ujumbe ambao wameshare katika muda mmoja, saa 6 ziliyopita.

Hivi karibuni msanii huyo mkubwa kutoka Nigeria #TiwaSavage aliweka wazi kuvuja kwa Video yake ya ngono, jambo lililofanya kuwa msanii anayezungumziwa sana kwa sasa.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments