Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

JE, ni Kweli Iphone 13 Max za Tanzania ni Feki?Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kuhusu iPhone 13 Pro Max ambazo zinapatikana nchini, zitakuwa ni feki kutokana na uhaba wa iPhone mpya katika stores za Apple nchini Marekani.

Mbobezi wa masuala ya teknolojia Bw. Apollo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefafanua kwa undani maswali ya watu wengi ambao wanahisi kwa sababu kuna uhaba wa iPhone USA, hivyo iPhone zinazotoka katika masoko mengi ya Apple kama vile Dubai, China, n.k na kupatikana Tanzania ni feki kwa sababu original iPhone zinatoka Marekani tu.

"iPhone zote duniani zitabaki kuwa Original hata ikiwepo utofauti katika antenna, Shutter Sound ya Kamera, Logo ya pembeni, na SIM Card mbili" - ameeleza.
 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments