Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kilichomuondoa Antonio Nugaz Yanga Huenda ni Hichi"Wakati naingia Young Africans niliwaambia viongozi msije mkamfukuza mtu yeyote, Mkifanya hivyo itaonekana Mimi ndio nimehusika katika hilo.

"Kile alichokifanya Nugaz kunitusi bila sababu inawezekana kabisa kuwa ndicho kilichomuondoa Nugaz."

"Mimi sijakukosea kitu unanitusi vipi! Nimeingia Young Africans Siku ya pili tu unanitusi bila sababu, sijawahi kukuosea!" - Haji Manara, Msemaji wa Young Africans

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments