Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mange Kimambi "Jamani Msiwe Mnatoa Mimba, Mtoto Nilizaa Kwenye Mazingira Magumu Huyu, Oneni Leo Kawa Mtu Katika Watu"


 Mange Kimambi awaasa watu kuacha fashion ya kutoa mimba ovyo, ni baada ya mwanae wa kwanza kwa jina la Cassandra/Bhoke(19) aliyemzaa katika mazingira magumu kuanza masomo yake ya degree ya sheria Durham University moja ya chuo kikuu kinachoheshimika nchini Uingereza na duniania kwa ujumla. Baada ya chuo hicho kupost picha za mwanae, Mange ameandika..

"Jamani amkeniiiiiiiiiiii , mtoto wa Dada wa Taifa kaanza chuo kikuu, tena sio chuo cha kitoto ni chuo one of the best in UK and in the world. OMG guys, my first born child is officially a Durham University Student. She had her matriculation yesterday.

Uwiiii jamani, nakufaaaaa kwa furaha. Jamani mwenzenu tarehe 16 Jan 2002 pale Highland hospital in Oakland California nilizaa a future lawyer 😊

She has been through so much. I’m so proud of her. Haki I feel like watoto wangu wooote wamerithi akili zangu. Kenzo nae ni kipanga balaa.

Uwiiii jamani leo natoa yooote 🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️🀸🏽‍♀️" ameandika Mange kisha kurudi tena hewani na kuongeza

"Uwiiiiiiiii naombeni muamke tena, ikiwezekana leo msilale tu jamani. Mjue mwanangu ndo alisaini kitabu cha matriculation kwa niaba ya wanafunzi wooote wapya wa hatsfield college. Uwiiii uwiiii jamani tumbo la uzazi linaniuma kwa furaha leo.

Nyie nyie nyie, kumbe mwenzenu nilizaa haswaaa. Jamani msiwe mnatoa mimba. Mtoto nilizaa kwenye mazingira magumu huyu, Mungu ndo anajua. Oneni leo kawa mtu katika watu. Je ningekunywa P2?" Ameandika Mange ambaye Ni mmoja wa watu wenye ushawishi mitandaoni.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

2 Comments

  1. huna lolote mdanganyifu mpenda misifa mkubwa uyooo

    ReplyDelete
  2. HELLO GET OUT OF FINANCIAL MESS WITH THE HELP OF drbenjaminfinance@gmail.com

    I have been in financial mess for the past months, I’m a single mum with kids to look after. My name is REBECCA MICHAELSON, and am from Ridley Park, Pennsylvania. A couple of weeks ago My friend visited me and along our discussion she told me about DR BENJAMIN OWEN FINANCE of drbenjaminfinance@gmail.com that he can help me out of my financial situation, I never believed cause I have spend so much money on different loan lenders who did nothing other than running away with my money. She advised, I gave it a try because she and some of her colleagues were rescued too by this Godsent lender with loans to revive their dying businesses and paying off bills. so I mailed him and explain all about my financial situation and therefore took me through the loan process which was very brief and easy. After that my loan application worth $278,000.00USD was granted, all i did was to follow the processing and be cooperative and today I am a proud business owner sharing the testimony of God-sent Lender. You can as well reach him through the Company Email drbenjaminfinance@gmail.com

    THANK YOU VERY MUCH

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)