Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwijaku "Diamond Platnumz Amepotea Kimuziki"


Mwijaku anaamini Diamond platnumz,amepotea kimuziki, hii ni baada ya nyimbo zake kushindwa kuhit, Kama zilivo kua zinahit apo hawali..

DC, mwijaku anadai kwamba Harmonize,ndie msanii mkubwa Kwa sasa Tanzania,na ndiye anaefanya vizur katika game..

Mwijaku ,ameandika kwamba team nzima ya WCB ,inatakiwa imuombe poo mmakonde Kwani ameshawaacha mbali, ukiangalia yeye ni jeshi la mtu mmoja..

Kila nyimbo anayo itoa Harmonize inahit 🔥 Tofauti na msanii yeyote wa WCB akitoa nyimboo..

Mwijaku anadai kua team ,mwambino baada ya kuona wamepotea kimuziki ,wameamua kucheza kamali na kutumia madawa ili kujifariji.😂..

Je mwijaku Yuko sahiihii Kwa haya???

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments