Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Vita Kitaa Nani Mkali kati ya Rayvanny na Harmonize


Baadhi ya mashabiki wanasema Rayvanny,anatembelea upepo wa WCB, na nyota ya diamond platnumz,Ivo akiondoka katika Lebo ya WCB ,ndo utakua mwisho wake!!

Pia wanasema Harmonize,yeye anatembelea nyota yake yeye mwenyewe na anaweza kujisimamia bila mtu kumboost ,na bila msaada wa yeyote ,ktk swala zima la kumfanyia promo.

Mashabiki wengine wanaamini Rayvanny anajua kuimba kuliko Harmonize,na ndio maan rayvanny amekua akifanya vizur kwenye platform zote za muziki.

Lakini pia mashabiki wengine wanaamini Harmonize Kwa sasa ndie msanii mkubwa Tanzania,mpaka imefikia hatua wanamlinganisha na Diamond platnumz.

Tumalize ubishi huu, !!

NANI MKALI KWA UPANDE WAKO?.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments