Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mzungu Aliyejibadilisha Rangi ya Ngozi na Kuwa Mweusi Afurahia Kuwa Mwafrika


Pichani Anaitwa Martina Big , huyu ni mwanamitindo na mwigizaji raia wa Ujerumani , huyu bwana aliamua kutumia Zaidi ya $50,000 za kimarekani zaidi ya Million 115/= kwa fedha ya Tanzania, ili tu kufanya upasuaji mdogo wa kuongeza matiti na kubadili rangi ya ngozi yake kuwa nyeusi, yaani kuwa mwanamke mweusi.

Mwanadada huyu aliamua kuacha kazi yake ya Uhudumu wa ndege na kukamilisha matamanio yake ya kuwa mweusi, Japo kuna wakati alihusishwa na issue za ubaguzi wa rangi, lakini mwenyewe alisisitiza kuwa anapenda kuwa muAfrika

Kwasasa anaishi Kenya na jamii ya wafugaji na amebadilisha jina lake na kutumia jina la kiswahili anajiita “Malaika Kubwa”
{Mhhh!🤔 Dunia ina mambo hii}

✍🏾@keviiiy.iam

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments