No title

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua   Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Eliezer Felishi aliyeteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu.

 

Kabla ya uteuzi huo, Jaji Siyani alikuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, taarifa iliyotolewa  Oktoba 8, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu), Jaffar Haniu imesema uteuzi huo umeanza  Oktoba 7, 2021.

 

Jaji Siyani ndiye aliyekuwa akisimamia kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kula njama na kufadhili fedha kwa ajili ya vitendo vya kigaidi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad