Sababu mtandao wa Facebook, WhatsApp, Instagram kutokuwa hewani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Huduma za mitandao ya kijamii ya  Facebook, WhatsApp na Instagram zimerejea baada ya kutopatikana kwa  saa nane.

Kupitia taarifa ya Facebook imeeleza kuwa sababu ya kutoweka kwa mitandao hiyo ni  mifumo kutofanya kazi.

Huduma zote tatu zinamilikiwa na Facebook na hazikuweza kupatikana kwenye wavuti au kwenye programu za simu za mkononi.

Taarifa zinaeleza kuwa kukatika kwa huduma hizo ni hitilafu kubwa zaidi kuwahi kutokea.

Katika taarifa hiyo iliyotumwa usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 5,2021 imesema mabadiliko mabaya ya usanifu yaliathiri zana na mifumo ya ndani ya kampuni hiyo.

Facebook ilituma ujumbe wa kuomba radhi kwa walioathirika kutokana na kutokupatikana kwa huduma zake za mitandao ya kijamii.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad