Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shaffih Dauda Atoa ya Moyoni "Simba Hapa Wamechemka Vibaya"


Mtangazaji Shaffih Dauda Afunguka Kuhusu wasemaji wapya wa Simba Waliotangazwa Jana:


"Simba hapa wamechemka, walishatoka huko na kufika mbali zaidi, hawakutakiwa kurudi tena nyuma.

Sikupendezwa na wahamasishaji kuzungumza mambo ya mtu binafsi! Kama wameamua kwende uelekeo huo basi watu wazungumze mambo yanayohusu mpira, sio kumzungumzia mtu tena kwa mambo yake binafsi haipendezi" Dauda

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments