Ticker

6/recent/ticker-posts

Wizkid Azidi Kuishika DUNIA..Aacha Historia Billboard

 


Wimbo wa “Essence Remix” wa Wizkid akiwa na Tems na Justin Bieber umeingia katika Top 10 ya chat za Billboard Hot 100 na kuweka record ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrobeat kuingia katika Top 10 ya chat hizo.

Wimbo huu ukiwa na wiki 14 katika Billboard Hot 100 umepanda kwa nafasi moja kutoka nafasi ya 11 wiki iliyopita.

“Essence” imepata airplay ya Radio na TV mara million 48.9 wiki iliyopita kwa nchini Marekani, na streams million 11.2 katika digital platforms.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments