Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Edo Kumwembe "Yanga Haibutui butui Uwanjani, Simba Imekuwa ya Kawaida Sana"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE“Wachezaji wawili wanaweza kubadilisha tune nzima ya timu, Kumbe inawezekana wakati mwingine, kuna wachezaji wawili wameondoka Simba ghafla, simba inaanza kuwa ya kawaida sana alafu kuna wachezaji wawili wameingia Yanga na Yanga inaonekana ya tofauti (Yanick Bangala na Khalid Aucho).

“Hii composer ya Yanga Thabani Kamusoko aliwahi kuileta Yanga, kidogo hapo katika ikaondoka lakini Aucho na Bangala wameirejesha tena, ( Controlling, Rhythm of the match ) achana na wengine na kina Moloko pale kati kwenye kiungo Yanga watasumbua watu wengi sana.

“Yanga wanamiliki mpira, kutokuwa na haraka kufanya buildup za uhakika kutoka nyuma, walinzi wa kati hawabutui, kipa habutui na ukifika kwa kina Bangala na Aucho unaona kabisa Transition ya timu,” Mchambuzi Sport Arena, @edokumwembe

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments