Hili Shepu la Hamisa Mobetto Tumepigwa na Kitu Kizito Machoni au ni la Kweli?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aisee nilikuwa nabishana sana na watu wanaosema kwamba shape ya @mobettohtothetop ni ya kutengeneza, aisee kuanzia leo nimeamua kukubaliana nao tu, Sio kwa shape hili aisee, mobetto utatuua.

Itoshe kusema kwamba kwasasa mobetto ndio star wa kike mwenye mvuto Tanzania nzima.

Wanaume ambao wamewahi kudate na mobetto wajengewe sanamu kabisa, joto linaweza likapungua.

Kama kweli vunjabei anamuoa mobetto ahakikishe anafuga Mbwa wengi maana sio poa mtoto anavutia.

MDAU UNALIONAJE HILI SHAPE NI NATURAL KWELI?

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad