M Dog Afunguka "Tumpongeze Diamond Platnumz ila Anatumika Vibaya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuna watu huwa hawaelewi na wanamuona @diamondplatnumz kama vile Ni msanii mkubwa sana Africa, tena  na yeye mwenyewe anavyovimba ndio anazidi kuaminisha mashabiki zake  kwamba yeye ni mkubwa  sana Africa wakati ukweli sio hivyo. Kijana bado anahatua ndefu sana katika muziki wake.

Hivi sasa Wizkid mmoja ni sawa na Diamond kumi. Suala la usiku wa kuamkia leo  Wizkid kuperform show moja na Chris brown sio suala dogo,  na baada ya show, Chris brown amepost kwenye instagram yake na  amekubali  kuwa wizkid ni moto wa kuotea mbali.

Wizkid ameperform ngoma zaidi ya Nne katika show ile, hii inaonesha kuwa anathamani kubwa sana Duniani , angekuwa Diamond angepewa dakika mbili tu.

Wizkid ameperfom Kwenye 02 Arena, London ambayo uwezo wake ni kuchukua watu 20000, Shangwe alilopata sio la Dunia hii, Daimond show zake Ulaya huwa unafanya kwenye Vilabu vya pombe.

Diamond atasubiri sana kuwa kama Wizkid, hivi sasa aendelee tu kupambana na @harmonizetz

JE UNATAKA  KUNUNUA GARI JIPYA/USED, KUUZA GARI LAKO, KUAGIZA GARI KUTOKA NJE YA NCHI,  WACHEKI @nyonimagari  Wawezeshe Kirahisi sana Jambo lako.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad