Stan Bakora "Ex Wangu alikuwa kama Beberu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Diva the bawse, Mtangazaji wa Lavidavi, Wasafi Fm, Jana ameuliza swali kupitia Page yake ya Instagram kwamba kati ya Mwanaume na mwanamke yupi anatoa kaharufu kabaya, au mpenzi wako anatoa Harufu gani, je unaipenda au inakuchukiza?

Baada ya swali hilo @stanbakora_ akakocomment "Ex wangu alikuwa kama Beberu", comment hiyo imefanya watu wacheke sana na kuhitaji kujua huyo ex wake ni nani? Huku wengine wakimtaja @zee_cuty , maana huyu pia ni ex wake, na wamekuwa wakipigana vijembe kadhaa.

Mpaka sasa hajajulikana ni nani huyo ananuka kama Beberu, ila @stanbakora_ bana anapenda kutrend sana, usikute kaamua kupita tu na upepo.

VIPI UNAWEZA KUWAAMBIA WASHIKAJI ZAKO KUWA MPENZI WAKO ANAHARUFU MBAYA?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad