Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wabongo Hawana Dogo, Wamiminika Kwenye Page ya Kocha MPYA wa Simba, Followers 23,000 Ndani ya Masaa Machache


Ikiwa ni saa chache tu tangu alipotangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba SC kuchukua mikoba ya Didier Gomes Derosa, kocha Pablo Franco Martin amepata zaidi ya wafuasi 23,000 katika ukurasa wake wa Instagram.

Sanjali na hilo, baada ya kutua nchini kocha huyo mwenye jina kubwa na uzoefu mkubwa na soka la bara la Ulaya, ataanza kibarua chake rasmi dhidi ya Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kabla ya kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Read More: Mange Kimambi Amlipua Paula "Paula Hasomi Turkey Mtaniambi Time Will Tell"

Pablo, 41, ni kocha mwenye wasifu mkubwa akiwa amewai kufundisha klabu kadhaa ikiwemo Real Madrid, Santa Eugenia, Puertollano, Getafe ya vijana na Getafe ya wakubwa na klabu nyingine.

Kabla ya kutua Simba, Pablo Franco alikuwa anakinoa kikosi cha Al-Qadsia ya Kuwait.

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments