Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Watu 690 wauawa Simiyu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Watu 690 wameripotiwa kuuawa kwa kukatwa mapanga katika mkoa wa Simiyu, wengi wao wakiwa ni wanawake, hii ni kutokana na taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani humo.


Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa jeshi hilo, Israel Makongo, amewaambia wajumbe wa baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani humo kuwa, mauaji ya watu hao yamefanyika kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka huu 2021.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments