Ticker

6/recent/ticker-posts

Ajitokeza kuitapeli familia ya mtoto aliyefufukaSiku chache baada ya mama aliyefiwa na mtoto mwaka 2017 na baadaye kupatikana akiwa hai mkazi wa kijiji cha Ngemo, mkoani Geita, tapeli ameibuka kwa mama huyo na kuomba Mil.3 anazodai kuwa ameagizwa na mkuu wa wilaya kama kulipwa fidia baada ya kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi.
Tapeli huyo aliyejitokeza kwenye familia hiyo anafahamika kwa jina la Charles Christopher, ambapo ndugu wameeleza kwamba alijifanya Afisa Upelelezi kutoka wilayani na kudai malipo hayo.

Akizungumza mtuhumiwa wa tukio hilo la utapeli amesema alifika nyumbani hapo baada ya kusikia limetokea tatizo hivyo aliwashauri hiyo milioni 3 itumike kwa ajili ya kwenda kwa mganga kumuagua mtoto huyo

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments