Salum Abubakar 'Sure Boy', Aggrey Morris na Mudhathir Yahya bado wamesimamishwa na Azam kutokana na utovu wa nidhamu


Salum Abubakar 'Sure Boy', Aggrey Morris na Mudhathir Yahya bado wamesimamishwa na Azam kutokana na utovu wa nidhamu

🔉 Inasemekana Azam walitoa nafasi ya wachezaji hao kuomba radhi Ili warejee kundini, kwa bahati mbaya sana hawakufanya hivyo

☑️ Wachezaji wote watatu bado wana mikataba na klabu hiyo ambayo walisaini mwanzoni mwa msimu huu

❗Kuna njia mbili pekee za wachezaji hao kuondoka Azam Complex, eidha wavunje mikataba na kulipa gharama au timu zinazowataka wakavunje mikataba

🔉Sure Boy anaehusishwa na klabu ya Yanga bado ana mkataba wa mwaka mmoja na nusu umesalia, hivyo yoyote anaemuhitaji ni suala tu la majadiliano

🔉Kwa Hali ilivyo sasa ni ngumu wao kusalia Azam na ni ngumu pia kuondoka kirahisi, kama chochote kitatokea wao kusalia basi ni "kuomba radhi"

The saga is still on and more to follow as the tide is still high☑️


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad