Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Senzo Avunja Mzizi wa Fitina Kuhusu Yanga Kumsajili Chama

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mchezaji anayetajwa ana mkataba na klabu yake [RS Berkane] tunaiheshimu klabu yake kwa hiyo hatuwezi kuzungumzia mchezaji wa timu nyingine. Tunaangalia ni mchezaji gani tunaweza kumsajili kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo.

Yanga tunajivunia wachezaji tulionao kwa sasa, dirisha dogo lipo wazi hivyo tutaangalia wachezaji tunaowahitaji kama wapo tutazungumza nao.

- Senzo Mbatha [@football_senzo] kuhusu Yanga kuhusishwa kutaka kumsajili Clatous Chama.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments