Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Nandy Amewatupia Lawama Waandaaji wa Tuzo za Afrima2021

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy amewatupia lawama waandaaji wa tuzo za #Afrima2021 kuwa hawakuwajali kama ilivyotakiwa kwenye utoaji wa tuzo hizo

Nandy anasema kuwa alikutana na @officialzuchu kwenye ndege na walikaa siti moja na Zuchu alikua akikosoa pia mapungufu makubwa yaliyojitokeza kwenye tuzo hizo

Nandy ameshauri kurudi kwa tuzo za Tanzania ili kuacha kutegemea tuzo za nje ya Tanzania kwani kwa namna moja ama nyingine zinashusha wasanii

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments