Ticker

6/recent/ticker-posts

Ufafanuzi wa Kocha PABLO Kumsukuma Mchezaji Wake Wawa...đź”´Nimepata wasaa wa kuzungumza na mmoja wa Makocha kwenye bench la Simba kuhusu tukio la Wawa uwanjani leo dhidi ya Coach Pablo

đź”´Utaratibu wa Substitutes ni tano ila mikupuo ni mitatu ambayo Kila ukitoa Mchezaji au wachezaji kwa mara moja inahesabika kama MOJA

đź”´Simba walifanya sub mbili za kwanza, aliingia Hassan Dilunga na Yusuph Mhilu, huu ulikuwa mkupuo wa kwanza, ikasalia miwili

đź”´Mkupuo wa pili Coach alitaka aiingie Pascal Wawa na Jimson Mwanuke, Fourth Official alipewa majina lakini akaingiza Mchezaji mmoja tu ambaye ni Jimson

đź”´Alisalia nje Pascal Wawa ila kumbuka tayari hapo inahesabika mikupuo miwili kwakuwa tayari kaingia Mwanuke, hivyo angeingia Wawa maana yake SUB zitakuwa zimekwisha

đź”´Hivyo Kocha Pablo alipogundua Hilo akalazamika kukimbilia kwenye touchline kuzuia Wawa asiingie huku akiita Mchezaji mwingine aje Ili waingie wote kufanya mikupuo mitatu kwa sub zote tano

đź”´Kocha Mkuu, Meneja na Matola wote walikuwa wanamlaumu Fourth Official huku Coach ikamlazimu kumwambia Wawa arejee bench mpaka watakapokuwa wawili waingie wote

đź”´Baadae akaingia Abdulswamadu, Ili kukamilisha mikupuo mitatu kwa SUB nne! Hivyo Coach alikuwa anahakikisha Hilo na temper ilipanda sio kwa Wawa bali Waamuzi

đź”´Kuhusu kumsukuma Mchezaji wake sio issue sana na ndio maana hata Wawa alikuwa kawaida na hakuonekana kumind kwakuwa alijua walokosea ni Fourth Official

đź”´Wala sio issue kubwa


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments