Zari The Bosslady wa kwanza Afrika Mashariki



Baby Mama wa Diamond Platnumz na mfanyabishara Zari The Bosslady amekuwa mwanamke wa kwanza Afrika Mashariki kufikisha followers milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram.

Mzaliwa huyo wa Taifa la Uganda anawashukuru mashabiki zake kwa kufikisha idadi hiyo maana sio suala dogo.

"Napenda kuchukua nafasi hii ya kipekee kabisa kuwashukuru vipenzi vyangu wote bila kuwasahau visokolokwinyo maana wao ndio wamejazana hapa kwenye milioni 10, utasema nina serve biriani la Sele Bonge".

"Jamani milioni 10 si mchezo, nasema asanteni sana haya si mapenzi bali ni mahaba ya hali ya juu kabisa nawapenda sana ". ameandika Zari The Bosslady 

Zaidi sikia hapa akizungumzia hilo.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA



 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad