Hassan Mwakinyo "Ni Wivu Wananionea Sina Taarifa zozote za Kuvuliwa Mkanda"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BAADA ya Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBF), kuwavua mikanda yao ya ubingwa wa Intercontinetal, Hassan Mwakinyo na Ibrahim Class, hatimaye bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na kuvunja ukimya kwa kusema kuwa yeye na uongozi wake haujui chochote zaidi ya kudai kuonewa wivu.

Mwakinyo ametoa kauli hiyo kufuatia WBF kuwavua mkanda ya ubingwa huo, kwa kuzingatia kanuni inayotamka kuwa bondia akishindwa kutetea ubingwa wake ndani ya miezi sita tangu aupate, basi atavuliwa.

Rais wa shirikisho hilo, Howard Goldberg, raia wa Afrika Kusini, amethibitisha kuvuliwa ubingwa kwa mabondia hao.

Mwakinyo ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kujibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa watu wanatakiwa wapuuzie suala la yeye kuvuliwa ubingwa huo kwa kuwa hajui kitu chochote kama mhusika kutokana na kutokupewa taarifa yoyote huku akienda mbali akiamini ni suala la yeye kuonewa wivu na baadhi ya vyombo vikubwa vya habari nchini.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad