1/17/2022

Mhitimu wa Kidato cha nne Mwaka 2021 Ajinyonga Kwa Kamba


Mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021 Shule ya Sekondari Serengeti mkoani Mara Lucas Thomas(17) amekutwa amejinyonga katika kijiji cha Buhemba wilayani Butiama baada ya kuaga anaenda shambani kuvuna mahindi na matunda.Katika matokeo yaliyotangazwa juzi Lucas amepata Division Two ya Point 21


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger