Sio Kwamba Muziki Wetu Uko Juu Bali Gharama Nafuu za DATA zilitubeba, Afrika Kusini ndie Mrithi Mpya wa Nafasi ya Tanzania Kushindana na Nigeria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni.


Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa Tanzania lakini hii ilikuwa kwajili ya silaha yetu ya bei rahisi ya data, kwa sasa mambo yamebadilika kabisa, hakuna video yoyote iliyofikisha views milioni 5 tangu mabando yapande na hazifiki hata videos zilizofikisha views milioni 3 zinahesabika kwa vidole, kiufupi kisu chetu kimekuwa butu.


Kwa hali hii ni dhahiri kabisa nafaai yetu ya kuwa taifa la pili baada ya Nigeria imekwenda na maji, mrithi atakuwa ni Afrika kusini ambae wasanii wetu wameanza kuiga amapiano yake.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad