Breaking: Ukraine Yakubali Kukutana na Urusi Kwa Mazungumzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




#Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na #Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia

Hatua imekuja baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia Bomu la Nyuklia kuipiga Ukraine

Aidha, ripoti zimesema #Japan inaweza kuweka vikwazo vya kifedha kwa Urusi kama itaendelea na mashambulizi yake

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad