Haji Manara "Poleni Vilabu Mtakaoathirika na Kujitoa kwa GSM Ila Mchawi Wenu Mnamjua"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Kampuni ya GSM kutanga kujitoka kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC 2021/22 kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni matakwa ya mkataba kutotimizwa kwa upande wa TFF na Bodi ya Ligi. Msemaji wa Klabu ya Yanga @hajismanara Kupitia ukarasa wake wa Instagram ametoa pole Kwa vilabu vyote vilivyoathirika na uamuzi huo wa GSM.

“Najua hayakuwa maamuzi mepesi kwa Kampuni, lakini nini GSM ingefanya zaidi ya ilichoamua?

Haiwezekani masharti ya Mkataba yakiukwe kwa maksudi kisha hakuna hatua zilizochukuliwa siku zote, bado Mtu aendelee kupoteza pesa zake!!

Poleni Vilabu vyote vilivyoathirika na uamuzi huu, lakini Mchawi wenu mnamjua.

Wenye akili tunakuunga Mkono 100%,” ameandika @hajismanara

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad