Mama Samia "Leo Ally Hapi Nilikuwa Nikufyatue Sema Umejiwahi na Kusema Mwenyewe Uwozo wa Mara"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Nilichokisia hapa kwa kiasi kikubwa kuanzia kwa mkuu wa mkoa (Ally Hapi), na mkuu wa mkoa leo kama umeota nilikuwa nikufyatue hapa lakini umeanza mwenyewe kuyasema na hii inanionyesha kwamba kweli unafuatilia na unafanya kazi lakini vinginevyo kwa Taarifa nilizonazo ilikuwa nikufyatue leo hapa

"Nilichokisikia kwenu wana Mara ni kwamba kuna fedha nyingi zinaingizwa kwenye mkoa huu lakini kuna ufujaji wa fedha hizo kuna ucheleweshaji wa kutekeleza miradi iliyopangwa kutekelezwa kwa fedha hizo na hili linafanywa wana Mara Mpo, Uongozi wa mkoa upo, uongozi wa wilaya upo lakini bado yanaendea, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi hii na Fedha zinazoshushwa Halmashauri Serikali tupo karibu sana Kufuatilia" - Rais Samia Suluhu Hassan
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad