Mjomba Amng'oa Kucha Mpwa wake kwa Madai ya Kuiba Mirungi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanamume mmoja amekamatwa katika eneo la Laare, kaunti ya Meru kwa tuhuma ya kumpiga na kumng’oa kucha mpwa wake mwenye umri wa miaka 10 kwa madai ya kuiba mirungi.
Imeripotiwa kuwa, mshukiwa huyo alimkamata mtoto huyo akipita kwenye shamba lake kisha alimfunga miguu na mikono kwa kamba na kuanza kumpiga akimtaka akiri kuwa ameiba mirungi yake.

Majirani wasikia kelele na mayowe mtoto huyo ziliwashitua majirani ambao walikimbia na kumkuta akichezea kichapo cha mbwa koko.

Baada ya kutekeleza unyama huo, mtuhumiwa alijipeleka mwenyewe katika Kituo cha Polisi cha Laare, akitaka mpwa wake akamatwe akiendelea kumtuhumu kuwa ameiba mirungi yake. Hata hivyo, mtuhumiwa alikamatwa na anatarajiwa kufunguliwa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad