Mwanafunzi Auawa na Kunyofolewa Sehemu za Siri Tabora

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanafunzi wa Darasa la Nne Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge Mkoani humo, Maria Kazungu (13) ameuawa alipoenda kisimani kuchota maji. Mbali na sehemu za siri kunyofolewa, masikio yake yalikuwa yametobolewa na kitu chenye ncha kali

Matukio ya mauaji yameonekana kuongezeka kwa kasi Nchini. Wizara ya Mambo ya Ndani imeunda Kamati kuchunguza sababu za ongezeko la matukio hayo


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad